Stories

Alama Tisa za Kanisa

Siyo muda mrefu uliopita na tulikuwa na semina kuhusu alama tisa za Kanisa. Ni mafundisho ya Mark Dever. Ni namna ya kufikiri hali ya kanisa ikoje. Kwa sababu mashughuli ya mchungaji ni mengi mno, na kuna ombi ya huyu na ombi la huyo kusikiliza, na mambo ya ofisi, ni rahisi tupate kusahau hudumu ile kuu.

Yesu alituachia na agizo la kuwafanya mataifa yote kuwa wanafunzi wake. Tunafanya hivi kwa kuwafundisha neno la Mungu kwa Roho Mtakatifu na maombi mengi. Kufanya hivi ni lazima kuwepo na watu kwa muda mrefu na kuwasikiliza na kuwasaidia wasikie Mungu katika neno lake.

Kuchunguza huduma yako ni jambo zuri. Alama hizi tisa zaweza kusaidia. Alama hizi ni:

  • Mahubiri ya Kufafanua
  • Theologia ya Kibiblia
  • Habari Njema
  • Mtazamo wa Biblia juu ya Uongofu
  • Mtazamo wa Bibla juu ya Uinjilisti
  • Mtazamo wa Biblia jua ya Ushiriki
  • Marudi ya Kibiblia ya Kanisa
  • Uanafunzi na Ukuaji wa Kikristo kuwa ni kipo umbele
  • Uongozi wa Kanisa ulio wa Kibiblia

Mambo hayo yote yanaweza kutusaidia kukumbuka kazi yetu hasa ya kuomba na kufundisha neno, na kwa kufanya hivyo na watu, kwa neema ya Mungu, kuwafanya watu wa kila mahali na hasa vijiji vyetu kuwa wanafunzi wa Kristo.

Baada ya kupanga wengine kusaidia mambo ya utawala, mitume walisema hivi:

na sisi tutadumu katika kuomba na kulihudumia lile Neno  (Mdo 6:4)

Advertisements

Kufungua 1/2/17

Karibuni wote!

Tunafungua chuo tarehe 1 mwezi we pili. Tunashukuru Mungu kwa kuwa tumepata nafasi tena kusanyika mbele zake kwa kusoma neno kwa kina na kutiana moyo kwa maombi, ushauri na kuabudu kwa pamoja. Tunaomba Roho Mtakatifu atuongoze na tupate kumpendeza Mungu kwa kila jambo kwa ajili ya utukufu wa mwanae Yesu Kristo.

Karibuni! Na tukumbuke mwaka wa tatu watakapojiandaa kwa mitihani ya jimbo, na wadiploma pia wanaofanya utafiti.

Bwana Asifiwe!

Uamsho

Bwana Yesu Asifiwe! Kwa sababu mbalimbali website hii imekuwa kama kulala usingizi, bali sasa imeamka tena! Tumeweka mafundisho mapya pamoja na mahubiri ambayo ni mfano wa yale tunajitahidi kuyafundisha (hapa) na pia filamu za kutaarifu watu juu ya chuo (hapa). Pamoja na hayo natumaini siyo muda mrefu na nitakuwa na taarifa maalum. Asante, na ubarikiwe.

Chimbua na Gundua

We’ve been blessed to have a second ‘preaching’ conference for our students and the pastors of the diocese. Where Mike Raiter focused on preaching itself, this conference spent a bit more time working on the text, the tools we need to find the big idea, and how we might work hard at faithfully presenting God’s word. We called it ‘Chimbua na Gundua’ (‘Dig and Discover’), which is really just the foundations for preaching.

Teaching at this conference were three pastors from Australia — Phil Wheeler, David Ould (from Sydney) and Josh Kuswadi (Northern Territory).  They were on their way to GAFCON in Nairobi and graciously gave a few days of their time to teach and share their own ministry experiences. Phil was hugely influential in my own christian growth (Mike) and married Katie and me (11 years ago), so it was a real pleasure to share with him over a few days and to partner together.

The Lord God continues to provide opportunities for growth in understanding and teaching the Bible. We are thankful to him, and for contact with a few other groups doing work in Tanzania along these lines. We’re hopeful that these contacts will provide further input for both our students and the many pastors of DMK. Thanks for your prayers.

Preaching Conference

Last week Mike Raiter from the Centre for Biblical Preaching came to DMK and ran a seminar on Biblical Preaching. All the students from Munguishi, and the pastors of the Diocese met for 4 days to learn the key elements of biblical preaching, and the seven simple steps to preparing a sermon which is relevant, interesting, clear, faithful, gospel-centred, christ-centred. We pray that God will work in the hearts of all, so that each student and pastor is more able and more confident in proclaiming Christ from all the Scriptures. Some of the highlights were seeing everyone work so well in groups, finding the structure and main idea, and seeing Mike Raiter apply the story of Lot and his two daughters in a Christ proclaiming and relevant way.

This was such a helpful week, and we’re hopeful we can do it again.

I’ve included some pictures from the conference.

This slideshow requires JavaScript.