Karibu!

 

Karibu!hati 3 students

Munguishi Bible College

Diocese of Mt Kilimanjaro,  Tanzania.

We train men and women for evangelism and ministry throughout Tanzania.  Our training courses emphasize a deep understanding of the Bible and Biblical Theology, practical ministry training and  faithful expositional preaching.

Check out our vision, our hopes, our photos and stories, and partnering with us in this important ministry.

And what you have heard from me in the presence of many witnesses, commit to faithful men who will be able to teach others also. (2Tim2:2 HCSB)

Advertisements

Recent Posts

Alama Tisa za Kanisa

Siyo muda mrefu uliopita na tulikuwa na semina kuhusu alama tisa za Kanisa. Ni mafundisho ya Mark Dever. Ni namna ya kufikiri hali ya kanisa ikoje. Kwa sababu mashughuli ya mchungaji ni mengi mno, na kuna ombi ya huyu na ombi la huyo kusikiliza, na mambo ya ofisi, ni rahisi tupate kusahau hudumu ile kuu. … Continue reading Alama Tisa za Kanisa

Kufungua 1/2/17

Karibuni wote! Tunafungua chuo tarehe 1 mwezi we pili. Tunashukuru Mungu kwa kuwa tumepata nafasi tena kusanyika mbele zake kwa kusoma neno kwa kina na kutiana moyo kwa maombi, ushauri na kuabudu kwa pamoja. Tunaomba Roho Mtakatifu atuongoze na tupate kumpendeza Mungu kwa kila jambo kwa ajili ya utukufu wa mwanae Yesu Kristo. Karibuni! Na … Continue reading Kufungua 1/2/17

Uamsho

Bwana Yesu Asifiwe! Kwa sababu mbalimbali website hii imekuwa kama kulala usingizi, bali sasa imeamka tena! Tumeweka mafundisho mapya pamoja na mahubiri ambayo ni mfano wa yale tunajitahidi kuyafundisha (hapa) na pia filamu za kutaarifu watu juu ya chuo (hapa). Pamoja na hayo natumaini siyo muda mrefu na nitakuwa na taarifa maalum. Asante, na ubarikiwe.

Chimbua na Gundua

We’ve been blessed to have a second ‘preaching’ conference for our students and the pastors of the diocese. Where Mike Raiter focused on preaching itself, this conference spent a bit more time working on the text, the tools we need to find the big idea, and how we might work hard at faithfully presenting God’s … Continue reading Chimbua na Gundua

More Posts